Monday 2 November 2015

MAJINA YA WAOMBAJI WAPYA WA MIKOPO KWA 2015/2016 AWAMU YA KWANZA

 Image result for heslb ipp

MAJINA YA WAOMBAJI WAPYA WA MIKOPO KWA 2015/2016

Tunapenda kukufahamisha kuwa Awamu ya Kwanza ya orodha ya majina ya waombaji wapya wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 inapatikana kupitia ukurasa wa maombi kwa njia ya mtandao http://olas.heslb.go.tz/

Kwa msingi huo, tunakanusha taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu haitatoa mikopo kwa wanafunzi wanaojiunga na wanaoendelea na masomo katika vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2015/2016.

Mwisho
Share: