Thursday 4 September 2014

TANGAZO KWA WANAFUNZI WA AFYA WANAOOMBA UHAMISHO

                                                        
                   TANGAZO KWA WANAFUNZI WA AFYA WANAO OMBA UHAMISHO
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda
kuwataarifu wanafunzi wote wanaoendelea na zoezi la uhamisho baada ya kuchaguliwa kujiunga na
 vyuo vya Afya kuwa zoezi hilo litasimamishwa hadi tarehe 18 Septemba 2014 ili kupisha zoezi jingine
 la kutoa nafasi za Ufadhili (1401) kwa wale walio au watakaoziomba.

Baada ya zoezi la uchaguzi wa ufadhili kuisha mtaweza kuendelea na zoezi la uhamisho kama kawaida.

Imetolewa leo 04.09.2014 na;
Katibu Mtendaji
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
Share:

0 comments:

Post a Comment