Sunday 15 February 2015

Matokeo Form Four: Shule 10 Bora kwa Ufaulu na Shule 10 za Mwisho


 


Katibu Mtedaji wa Baraza la Mitihani la Taifa Dk Charles Msonde ametangaza matokeo ya mitihani ya Shule za Sekondari ya Kidato cha Nne ya mwaka jana na kusema, kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 10 ikilinganishwa na matokeo ya mwaka 2013.
Akizitaja shule kumi bora kwa ufaulu, Dkt Msonde amesema shule hizo ni:
  1. Kaizirege - Kagera
  2. Mwanza Alliance - Mwanza
  3. Marian Boys - Pwani
  4. St. Francis Girls - Mbeya
  5. Abbey - Mtwara
  6. Feza Girls - Dar es salaam
  7. Canossa - Dar es Salaam
  8. Bethel sabs Girls - Iringa
  9. Marian Girls - Pwani
  10. Feza Boys - Dar es laam.
Shule 10 za mwisho ni:
  1. Manolo - Tanga
  2. Chokocho - Pemba
  3. Kwalugulu - Tanga
  4. Relini - Dar es salaam
  5. Mashindei - Tanga
  6. Njelekela Islamic Seminary - Kigoma
  7. Vudee - Kilimanjaro
  8. Mnazi - Tanga
  9. Ruhembe - Morogoro
  10. Magoma - Tanga
>>>Bonyeza Hapa Kuangalia Matokeo ya Form Four 2014
Share:

0 comments:

Post a Comment