Friday 29 May 2015

Wanafunzi Walioteuliwa Kujiunga na Kidato cha Tano Zanzibar 2015

Title Image

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetangaza majina ya Wanafunzi walioteuliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2015 kupitia tovuti yake hii. Pia majina hayo yanapatika katika tovuti hii na skuli walizopangiwa.

Wizara inawaagiza wanafunzi wote walioteuluwa kujiunga na kidato cha tano 2015/16 kuwa wanatakiwa kuripoti katika Skuli walizopangiwa siku ya Jumatatu tarehe 01 Juni 2015 wakiwa tayari kuanza masomo.

Ahsateni
Share:

0 comments:

Post a Comment