Tuesday 13 October 2015

Taarifa ya Ufafanuzi toka Bodi ya Mikopo Tanania (HESLB) 12 October 2015

Image result for HESLB IPP

Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kwa sasa, kazi ya uchambuzi wa maombi ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu bado inaendelea.

Mwisho.
Share:

0 comments:

Post a Comment