Saturday 23 July 2016

Kupata Majibu ya Maswali na Ufafanuzi kuhusu Uamuzi wa Wizara ya Elim kuhusu wanachuo 7,805 waliokuwa wanasoma stashahada maalum ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma.

Image result for Tanzania emblem
TAARIFA KWA UMMA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia hivi karibuni ilitoa uamuzi kuhusu wanachuo 7,805 waliokuwa wanasoma
stashahada maalum ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma.

Baada ya kutolewa kwa uamuzi huo kumekuwa na maswali mengi ambayo yamekuwa yakiulizwa mara kwa mara
kufuatia uamuzi huo. Hivyo Wizara inawataarifu wale wote wenye maswali ama wanaotaka ufafanuzi wawasiliane
na Wizara kwa kutumia namba 0784307462 au barua pepe   info@moe.go.tz 

Imetolewa na:

Katibu Mkuu
Share:

0 comments:

Post a Comment