//Skip to content

Vyeo Vya Jeshi La Polisi:
- Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP)
- Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi(DIGP)
- Kamishina wa Polisi(CP)
- Naibu Kamishina wa Polisi(DCP)
- Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP)
- Kamishina Msaidizi wa Polisi(ACP)
- Mrakibu Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SSP)
- Mrakibu wa Polisi(SP)
- Mrakibu Msaidizi wa Polisi(ASP)
- Mkaguzi wa Polisi(Insp)
- Mkaguzi Msaidizi wa Polisi(A/Insp)
- Sajini Meja wa polisi(rsm)
- Stesheni Sajini wa Polisi(s/sgt)
- Sajini wa Polisi(sgt)
- Koplo wa Polisi(cpl)
- Konstebo wa Polisi(pc)
0 comments:
Post a Comment