Thursday, 19 June 2014

MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA 2014/2015

NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA                                                     KWA MWAKA  WA MASOMO    2014/2015
                   
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza nafasi za mafunzo 
ya ualimu ngazi ya Stashahada na Cheti kwa mwaka wa masomo 2014/2015.
 Waombaji wote wanatakiwa kutuma maombi yao kwa:

 KATIBU MKUU, WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI,
 S.L.P. 9121 DAR ES SALAAM 
(aione Mkurugenzi Elimu ya Ualimu).

 Kwa maelezo zaidi juu ya ngazi ya cheti 
bofya hapa na kwa ngazi ya stashahada bofya hapa au
 tembelea tovuti ya wizara ya elimu 

Aidha waombaji wote wanaotarajia kuomba kujiunga na Stashahada ya
 Ualimu wa Shule za Msingi ambayo inasimamiwa na Baraza la Taifa la 
Elimu ya Ufundi watatuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia 
tovuti ya NACTE. 
Utaratibu na namna ya kuomba utatolewa hivi karibuni na NACTE.
Share:

0 comments:

Post a Comment