Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania TCRA inaendesha kampeni
inayolenga kukabiliana na matumizi mabaya ya mitandao ya mawasiliano,
ikiwemo ya simu na intaneti, maarufku kama "Futa-Delete-Kabisa.
Mkuu wa idara ya mawasiliano ya umma wa TCRA Inncocent Mungi anazungumza
na Iddi Ssessanga kuhusu kampeni hii katika makala ya kinagaugaba.
Kusikiliza makala hiyo bonyeza hapo chini.
0 comments:
Post a Comment