|
TANGAZO KWA WANAFUNZI WA AFYA WANAO OMBA UHAMISHO
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja na Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii inapendakuwataarifu wanafunzi wote wanaoendelea na zoezi la uhamisho baada ya kuchaguliwa kujiunga na vyuo vya Afya kuwa zoezi hilo litasimamishwa hadi tarehe 18 Septemba 2014 ili kupisha zoezi jingine la kutoa nafasi za Ufadhili (1401) kwa wale walio au watakaoziomba. Baada ya zoezi la uchaguzi wa ufadhili kuisha mtaweza kuendelea na zoezi la uhamisho kama kawaida. Imetolewa leo 04.09.2014 na; Katibu Mtendaji
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
|
0 comments:
Post a Comment