HII NI KUWAJULISHA WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA SITA KUWA USAJILI WA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2016 UMEANZA TAREHE 1 JULAI 2015 NA UTAKAMILIKA TAREHE 30 SEPTEMBA 2015
HIVYO JITAHIDI UKAMILISHE HATUA ZOTE ZA USAJILI NDANI YA MDA HUU KATIKA SHULE/KITUO CHAKO
0 comments:
Post a Comment