Thursday 28 April 2022

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


OFISI YA RAISI


TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA





TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA ELIMU


Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) imepata kibali
cha ajira za Watumishi wa Kada za
Afya 7,612 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri,
Vituo vya Afya na Zahanati pamoja na
Ualimu 9,800 wa Shule za Msingi na Sekondari
watakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Hivyo, wahitimu kutoka kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya
Afya vinavyotambuliwa na Serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia
tarehe
20 Aprili - 04 Mei, 2022. Nafasi za ajira zilizopo ni kwa wahitimu wa
Astashahada (Certificate), Stashahada (Diploma) na Shahada (Degree).

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD AJIRA.

TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI 2022.pdf




Share:

0 comments:

Post a Comment