Saturday 30 April 2022

RATIBA YA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA NNE

 RATIBA YA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA NNE 2022.

CSEE 2022 EXAM TIMETABLE.

Mtihani wa taifa wa kidato cha nne Tanzania. Ni mtihani wa mwisho kwa wanafunzi wa shule za sekondari ambao unawapima na kuonyesha ufaulu wao ili waweze kuendelea na elimu za juu.

Mtihani huu huongozwa na kusimamiwa na wizara ya elimu kupitia NECTA.


NECTA ndio husimamia mchakato wote wa mitihani hii ya taifa kuanzia kutengeneza, kuchapisha hadi kusahisha na kutoa matokeo.



Share:

0 comments:

Post a Comment