Thursday, 25 May 2023

WIMBO WA TAIFA WA TANZANIA. TANZANIA NATIONAL ANTHEM.

 


Wimbo wa Taifa wa Tanzania "Mungu Ibariki Afrika" ni wimbo uliokuwa ukitumika tokea kipindi cha Tanganyika kabla ya Muungano. Ingawa haifahamiki ni na nani aliyetunga lyrics za wimbo huu ila inafahamika kwamba Samuel Mqhayi na Enoch Sentonga ndio waliotunga  melody.

Inafikiriwa na watu pia kwamba mtunzi kutokea wales aitwae Joseph parry ndiye aliyetunga wimbo huu kwa mara ya kwanza.

Karatasi ya mziki ya Mungu Ibariki Afrika.
Swahili Lyrics.
Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.


Kiitikio ya kwanza:
Ibariki Afrika, Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.

II
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki
Tanzania na watu wake.


Kiitikio ya pili:
Ibariki Tanzania, Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.


English Lyrics.
God bless Africa
Bless its leaders
Wisdom, unity and peace
These are our shields
Africa and its people

Chorus I:
Bless Africa, Bless Africa
Bless us, the children of Africa

II
God bless Tanzania
Grant eternal freedom and unity
To its women, men and children
God bless
Tanzania and its people

Chorus II:
Bless Tanzania, Bless Tanzania
Bless us, the children of Tanzania 



Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment