Monday, 5 June 2023

JINSI YA KUZUIA MATANGAZO (ADS) SUMBUFU KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID.

Najua huwa inakukera sana pale unapotaka ufungue application yako aidha ya vpn au nyingine tu, au unataka ufungue website yako pendwa ila matangazo huibuka na kukupunguzia kuenjoy taarifa au kufurahia vizuri website ama app unayotumia.

Matangazo hayo yanayoibuka kwa English yanaitwa adverstisements au ads haya huekwa na makampuni mbalimbali katika tovuti (mbalimbali) ambapo tovuti hizo hufaidika kwa kulipwa pesa kutokana na kuonesha matangazo, hivyo basi kuonesha matangazo ni moja ya chanzo cha mapato kwenye website ama applications hizi.

Leo nitakuelekeza jinsi ya kuzuia matangazo haya yasiweze kuonekana tena katika simu yako, Angalia video hii fupi hapa Chini kujifunza.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment