Wednesday 18 June 2014

Selection za Form Five 2014/2015

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA

 KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2014: 

 

                                           

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) 
imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 
2014 ambao waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013
Wanafunzi waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangiwa kuanzia
 tarehe 10 Julai 2014 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 30 Julai 2014. 
Aidha, hakutakuwa na mabadiliko ya wanafunzi kubadilishiwa shule walizopangiwa,
 hivyo wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa kama inavyoonekana
 katika matokeo haya. 
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO
 MWAKA 2014

WASICHANA-SHULE-ZOTE.pdf
WAVULANA-MAJINA-YA-SHULE-A-mpaka-L.pdf
WAVULANA-MAJINA-YA-SHULE-M-mpaka-Z.pdf
Share:

0 comments:

Post a Comment