Friday, 26 September 2014

Maazimio ya Baraza la Taifa CWT Agosti 2014

MAAZIMIO YA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA YALIYOTOLEWA NA
BARAZA LA TAIFA LA CWT

Katika kikao chake cha BARAZA LA TAIFA kilichofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 27-28 Agosti, 2014 wajumbe waliazimia katika mambo yafuatayo:-
 1.           MADENI YA WALIMU
 2.           MAPUNGUFU KATIKA UPANDISHAJI MADARAJA
 3.           KUTOPANDISHA WALIMU MADARAJA KWA WAKATI
 4.           KUPINGA WARAKA KANDAMIZI
 5.           NYONGEZA YA MSHAHARA
 6.           NYONGEZA YA MWAKA
 7.           TATIZO LA KUTOPANDISHWA VYEO
 8.           KUPINGA KUFINYWA KWA MAFAO YA WALIMU WAKATI WA KUSTAAFU
 9.           TATIZO LA MAUAJI YA ALBINO

Share:

0 comments:

Post a Comment