Majina ya Waliochaguliwa Vyuo vya Ualimu 2014/15 on September 04, 2014 with No comments NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION Central Admission System Maelekezo: Mfumo huu umewekewa vitufe mbali mbali ili kumsaidia muombaji kupata taarifa anazozihitaji kuhusiana na maombi yake (kama amechaguliwa ama la). Bonyeza viunganishi vilivyowekwa kama "Elimu ya Awali", "Michezo", na "Msingi" (kwa waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu ya Kawaida); au "Sayansi na Hisabati", na "Elimu Maalumu" (kwa waliochaguliwa kujiunga na "Stashahada ya juu ya Ualimu) kisha andika jina, au namba yako ya mtihani ya kidato cha nne kwenye kiboksi cha "Search" na moja kwa moja utaweza kuona kama jina lako liko kwenye orodha ya waliochaguliwa au hapana. Stashahada ya Elimu ya Awali [Total 7357 Selected Applicants] Elimu ya Michezo [Total 219 Selected Applicants] Stashahada ya Elimu ya Msingi [Total 982 Selected Applicants] Stashahada ya Juu Sayansi na Hisabati [Total 464 Selected Applicants] Stashahada ya Juu Lugha (Kiswahili/French/English) [Total 76 Selected Applicants] Stashahada ya Juu Ellimu Maalum [Total 261 Selected Applicants] Share: Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Related Posts:NACTE : ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA UFUNDI NA VYUO VYA ELIMU YA KATI KWA MWAKA 2018JKT : MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA 2019 KWA AWAMU YA PILI Form five Selection results 2018/2019 Academic Year | Students selected to join form five 2018 and Technical CollegesNACTE : SELECTION ZA FORM FIVE NA CERTIFICATENACTE : TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA KUTHIBITISHA NA KUBADILI KOZI/CHUO
0 comments:
Post a Comment