Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetangaza majina ya Wanafunzi
walioteuliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2015 kupitia tovuti
yake hii. Pia majina hayo yanapatika katika tovuti hii na skuli walizopangiwa.
Wizara inawaagiza wanafunzi wote walioteuluwa kujiunga na kidato...
Friday, 29 May 2015
UHAMISHO - KOZI ZA UALIMU 2015/2016
on May 29, 2015
with
No comments
Matokeo ya waliochaguliwa yalitoka tarehe 16/05/2015 na
waliochaguliwa waliruhusiwa kuomba uhamisho mpaka tarehe 25/05/2015. Hii
ndo orodha ya wanafunzi waliohamishwa.
SN
NAME
PREVIOUS SELECTION
TRANSFERRED TO
PROGRAM
1
Yusuph Mandele
Tukuyu TTC
Bustani TTC
ODPE
2
Anania...
MAURITIUS SCHOLARSHIPS FOR TANZANIANS 2015
on May 29, 2015
with
No comments
The Government of Mauritius is offering scholarships for
undergraduate studies in Public Tertiary Education Institutions in
Mauritius deserving Tanzanian students in 2015.
GUIDELINES FOR APPLICANTS
1. Financial Conditions of the Scholarship
1.1 The Scholarship will cover:
(i)...
Tuesday, 26 May 2015
Monday, 25 May 2015
Majina ya Form 6 Waliochaguliwa Jeshini (JKT) na Vikosi Walivyopangiwa Vijana kwa mujibu wa Sheria 2015
on May 25, 2015
with
No comments
Vikosi Walivyopangiwa Vijana kwa mujibu wa Sheria 2015
Tafadhali bonyeza jina la kikosi kutafuta jina lako
BULOMBORA -KIGOMA
RWAMKOMA - MUSOMA
KANEMBWA
MSANGE - TABORA
MAKUTOPORA - DODOMA
RUVU - PWANI
MGAMBO - TANGA
MARAMBA - TANGA
MLALE - SONGEA
MAFINGA...
Tangazo muhimu kwa vijana mujibu wa sheria 2015
on May 25, 2015
with
No comments
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANA WATANGAZIA VIJANA IDADI 20000
WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA
MUJIBU WA SHERIA. WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE VIKOSI VYA MAFUNZO
WALIVYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 08 JUNI 2015. MAFUNZO YATAANZA RASMI
TAREHE 15 JUNI 2015 NA KUMALIZIKA...
Sunday, 24 May 2015
Saturday, 23 May 2015
ORODHA YA WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJINGA NA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015
on May 23, 2015
with
No comments
WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU MEI 2015/2016
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kwa kushirikiana na Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi limechagua waombaji 2,543 (Me 1,651 na Ke
892) kujiunga na Mafunzo ya Ualimu katika Awamu ya Pili ya Mwaka...
Sunday, 17 May 2015
MATOKEO FTSEE 2014 YALIYOKUWA YAMEZUIWA SABABU YA ADA YA MTIHANI
on May 17, 2015
with
No comments
THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
P1367 LAKE ZONE SECONDARY SCHOOLS0005 CHIDYAS0006 MPWAPWA
S0007 TABORA GIRLS' S.SS0008 AZANIA SECONDARY SCHOOLS0009 USAGARA SECONDARY SCHOOL
S0011 ZANAKI SECONDARY SCHOOLS0013 MOROGORO SEKONDARY...