Sunday 23 August 2015

VYUO/TAASISI ZILIZOSIMAMISHWA KUDAHILI WANAFUNZI KWENYE MFUMO WA UDAHILI WA PAMOJA

 

NOTICE TO THE PUBLIC
COLLEGES/INSTITUTIONS PLACED ON HOLD IN THE CENTRAL ADMISSION SYSTEM
This is to inform the general public that institutions listed below have been placed on HOLD to admit students in Nursing programmes pending feedback from the Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC). All these institutions were given letters of registration clearly stating that they should liaise with TNMC and the Ministry of Health and Social Welfare (MoHSW) so as to fulfill professional and sectoral requirements before admitting students. The Council will release and allow them to enroll students in year 2015/2016 as soon as it receives needed feedback from these two stakeholders. This action is meant to protect and safeguard the interests of PUBLIC and in particular prospective students.
The affected colleges are the following:
(i) Makambako Institute of Health Sciences – Njombe;
(ii) Isimila Nursing School – Iringa;
(iii) St. Bernard Health Training Institute – Katoro, Geita;
(iv) New Mafinga Health and Allied Institute – Mafinga, Iringa;
(v) Geita Medical Laboratory and Nursing Training College – Geita;
(vi) Global Community College – Geita;
(vii) Ilula Nursing School, Kilolo – Iringa; and
(viii) Teofilo Kisanji University – Mbeya.


TANGAZO KWA UMMA
VYUO/TAASISI ZILIZOSIMAMISHWA KUDAHILI WANAFUNZI KWENYE MFUMO WA UDAHILIO WA PAMOJA
Tunapenda kuujulisha umma kwamba vyuo/taasisi zilizoorodheshwa hapo chini ZIMESIMAMISHWA kudahili wanafunzi katika fani ya Uuguzi hadi hapo Baraza litakapopokea mrejesho kutoka Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC). Vyuo/taasisi zote hizi zilipewa barua za usajili wa NACTE zenye maelekezo bayana ya kwamba zanatakiwa kuwasiliana na TNMC pamoja na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kuweza kukamilisha mahitaji ya kitaaluma na kisekta kabla ya kuanza kudahili wanafunzi. Baraza litaruhusu vyuo/taasisi hizo kudahili wanafunzi kwa mwaka 2015/2016 mara litakapopokea mrejesho unaotakiwa kutoka TNMC na Wizara. Uamuzi huu umechukuliwa ili kulinda maslahi ya umma na zaidi sana wanafunzi watarajiwa.
Vyuo/taasisi husika ni hizi zifuatazo:
(i) Makambako Institute of Health Sciences – Njombe;
(ii) Isimila Nursing School – Iringa;
(iii) St. Bernard Health Training Institute – Katoro, Geita;
(iv) New Mafinga Health and Allied Institute – Mafinga, Iringa;
(v) Geita Medical Laboratory and Nursing Training College – Geita;
(vi) Global Community College – Geita;
(vii) Ilula Nursing School, Kilolo – Iringa; and
(viii) Teofilo Kisanji University – Mbeya
Share:

0 comments:

Post a Comment