Friday 11 December 2015

NAFASI ZA MASOMO NCHINI PAKISTAN : PAKISTAN TO TANZANIA SCHOLARSHIPS 2015/2016







Image result for TANZANIA AND PAKISTAN FLAGS
Wizara ya Elimu na Mafunzo Ya Ufundi inawatangazia watanzania wenye sifa za kitaaluma na hamu ya kusoma kutuma maombi ya skolashipu zilizotolewa na serikali ya pakistan za shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha Comsats Institute of Information Technology (CIIT) cha nchini pakistan.
Maelezo zaidi kuhusu namna ya kujiunga, tarehe ya kuanza masomo, fomu za maombi na ufadhili tafadhali bofya hapa
Ni imani yetu kuwa wale wenye sifa watatuma maombi yao mapema

Imetolewa na

Katibu Mkuu,
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
S.L.P. 9121,
7 Mtaa wa Magogoni,

11479 DAR ES SALAAM.
Share:

0 comments:

Post a Comment