Majina ya Waliochaguliwa Vyuo vya Ualimu 2014/15 on September 04, 2014 with No comments NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION Central Admission System Maelekezo: Mfumo huu umewekewa vitufe mbali mbali ili kumsaidia muombaji kupata taarifa anazozihitaji kuhusiana na maombi yake (kama amechaguliwa ama la). Bonyeza viunganishi vilivyowekwa kama "Elimu ya Awali", "Michezo", na "Msingi" (kwa waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu ya Kawaida); au "Sayansi na Hisabati", na "Elimu Maalumu" (kwa waliochaguliwa kujiunga na "Stashahada ya juu ya Ualimu) kisha andika jina, au namba yako ya mtihani ya kidato cha nne kwenye kiboksi cha "Search" na moja kwa moja utaweza kuona kama jina lako liko kwenye orodha ya waliochaguliwa au hapana. Stashahada ya Elimu ya Awali [Total 7357 Selected Applicants] Elimu ya Michezo [Total 219 Selected Applicants] Stashahada ya Elimu ya Msingi [Total 982 Selected Applicants] Stashahada ya Juu Sayansi na Hisabati [Total 464 Selected Applicants] Stashahada ya Juu Lugha (Kiswahili/French/English) [Total 76 Selected Applicants] Stashahada ya Juu Ellimu Maalum [Total 261 Selected Applicants] Share: Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Related Posts:Vyuo Vilivyosajiliwa na VETA Kanda ya Dar es Salaam May 2014Maelekezo na Fomu ya Uhamisho wa Chuo Kikuu au Kozi Tanzania 2014/2015Majina ya Waliochaguliwa IAA Arusha 2014/2015 for Bachelor programmesMajina ya Waliochaguliwa KCMC 2014/2015 for Bachelor Degree ProgrammeMajina ya Waliochaguliwa Tumaini Uni. Makumira 2014/2015 toka Chuoni
0 comments:
Post a Comment