SOMO NAMBA NNE : UTENGENEZAJI WA CHILLY SAUCE.
Pilipili Mbuzi. |
MALIGHAFI ZINAZO HITAJIKA KWENYE UTENGENEZAJI WA CHILLY SOUCE.
1. Nyanya Kg. Moja.
2.Vitunguu Swaumu vikubwa viwili.
3.Mafuta ya kula vijiko sita vya chakula.
4. Maji ya moto - Kikombe kimoja cha chai.
5.Pilipili mbuzi Nusu Kilo.
HATUA ZA KUFUATA KATIKA UTENGENEZAJI WA CHILI SOUCE.
1. Saga kwa pamoja malighafi zote zilizo orodheshwa hapo juu kwa kutumia blander.
2. Baada ya kusaga mchanganyiko wako, utumbukize kwenye maji ya moto na kukoroga kwa dakika kumi na tano, kisha uhifadhi katika chombo maalumu. Sasa CHILLY SOUCE yako ipo tayari kwa matumizi ya binadamu.
Vitunguu Swaumu. |
0 comments:
Post a Comment